Harmonize amzawadia Shilole zawadi ya Tsh Mil 9.

Msanii Harmonize siku ya jana katika harusi ya msanii Shilole pamoja na mume wake Uchebe ameweza kufanya maajabu kama yaliyofanywa na wasanii wengine wa wasafi waliohudhuria sherehe hizo kwa kutoa shilingi Milllini Tisa taslimu za kitanzania kama zawadi kwa wana harusi hao.   Bonyeza video hapo chini kuona Harmonize alivyotoa zawadi hiyo.   https://www.youtube.com/watch?v=zljBPl62m5g

Zawadi ya Diamond Platnumz kwa Shilole katika harusi yake na Uchebe.

Jana Msanii Shilole aka Shishi bebe waliweza kufanya sherehe ya harusi na mume wake anaejulikana kwa jina la Uchebe. Sherehe hiyo iliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali lakini mmoja wao akiwa ni diamond platnumz ambae aliweza kutoa zawadi ya maana kwa wanandoa hao. Bonyeza Video hapo chini kuona zawadi ya diamond platnumz kwa Shilole na …

Continue reading Zawadi ya Diamond Platnumz kwa Shilole katika harusi yake na Uchebe.

Alichosema Godbless Lema baada ya Lowassa kutinga ikulu na Kumsifia Raisi Magufuli.

Baada ya Waziri Mstaafu Mh Edward Lowassa kuweza kuwasili ikulu hii leo na Kufanya mazungumzo na Raisi Wa Tanzania kwa awamu ya Tano Mh Dk John Pombe Magufuli na kisha kummwagia sifa kuwa anafanya vizuri katika uongozi wake. Hichi Ndicho alichoandika Mh Godbless Lema ambaye ni Mbunge wa CHADEMA.   Bonyeza Video Hapo Chini kusikia …

Continue reading Alichosema Godbless Lema baada ya Lowassa kutinga ikulu na Kumsifia Raisi Magufuli.

Mh Edward Lowassa atinga live ikulu kuzungumza na Raisi Magufuli

Waziri mstaafu ambaye pia alikua mgombe Uraisi mwaka 2015 kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mh Edward Lowassa amewasili ikulu hii leo na kuweza kuzungumza na Raisi John Pombe Magufuli.   Video ya Lowassa alivyowasili Ikulu na Kufanya Kikao na Raisi John Pombe Magufuli hii leo .      Bonyeza Play hapo …

Continue reading Mh Edward Lowassa atinga live ikulu kuzungumza na Raisi Magufuli

Ujumbe wa Masoud Kipanya uliothibitisha kupatikana.

  Baada ya kuwa na tetesi ambazo zilikua hazina udhibitisho kuhusu kupotea kwa ghafla kwa mtangazaji na mchora katuni clouds media group Massoud Kipanya Hatimaye athibitisha kuwa salama. Masoud Kipanya amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika maneno yafuatayo " Poleni kwa usumbufu Asanteni kwa kujali hali za wengine , niko salama  alhamdullilah …

Continue reading Ujumbe wa Masoud Kipanya uliothibitisha kupatikana.

Diamond Platnumz kushikiliwa na polisi baada ya Kumkana mtoto wake mwingine.

Msanii Diamond Platnumz ameingia tena matatani baada ya mwanamke mmoja kutokea nchini kenya kudai kuwa amezaa na staa huyo. Inadaiwa kuwa mwanamke huyo aliwasili nchini Tanzania Mapema Mwezi uliopita na kuanza jitihada za kumtafuta msanii huyo ili ampe pesa za matumizi za mwanae huyo, Baada ya kumkosa aliamua kuweka makazi njee ya nyumba ya Msanii …

Continue reading Diamond Platnumz kushikiliwa na polisi baada ya Kumkana mtoto wake mwingine.

Hamissa Mobeto athibitisha kuachana na Diamond Platnumz.

Baada ya kuwa na mvutano wa nguvu kati ya mwanadada Hamissa Mobeto pamoja na Hasimu wake Zari the Boss lady wote wakiwa wanamgombani msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na huku pia wote wakiwa ni wazazi wenza wa msanii huyoo, Hatimaye mwanadada Hamissa mobeto amethibitisha kuachana na Habari za msanii Huyo Diamond platnumz kupitia ukurasa …

Continue reading Hamissa Mobeto athibitisha kuachana na Diamond Platnumz.